Home Ligi BUNDESLIGA TOP 10 YA WACHEZAJI WALIONUNULIWA KWA MKWANJA MREFU ZAIDI HADI SASA

TOP 10 YA WACHEZAJI WALIONUNULIWA KWA MKWANJA MREFU ZAIDI HADI SASA

1166
0
SHARE

Wachezaji ghari

Usajili wa Hulk kutoka Zenit St Petersburg kwenda Shanghai SIPG ndiyo usajili ghari zaidi hadi sasa katika dirisha hili la usajili.

Lakini huenda sajili za Pogba na Morata kwenda Manchester United na Chelsea ambazo zinatajwa kugharimu kitita cha £105million na £ 50miliion, usajili wa Hulk hautabaki kuwa ghari katika orodha hii.

Hizi ndiyo sajili 10 ghari zaidi hadi sasa:

10. Miralem Pjanic – kutoka Roma kwenda Juventus

Kiasi: £25.4m

Pjanic

9. Henrikh Mkhitaryan – kutoka Borussia Dortmund kwenda Manchester United

Kiasi: £26.3m

Jose Mourinho&Mkhitaryan

8. Renato Sanches – kutoka Benfica kwenda Bayern Munich

Kiasi: £27.5m

Renato Sanches

7. Eric Bailly – kutoka Villarreal kwenda Manchester United

Kiasi: £30m

baillyb 3

6. Mats Hummels – kutoka Borussia Dortmund kwenda Bayern Munich

Kiasi: £31.5m

Mats Hummels

5. N’Golo Kante – kutoka Leicester kwenda Chelsea

Kiasi: £30m

Soccer Euro 2016 France Albania

4. Michy Batshuayi – kutoka Marseille kwenda Chelsea

Kiasi: £33.2m

Michy Batshuayi

3. Granit Xhaka – kutoka Borussia Monchengladbach kwenda Arsenal

Kiasi: £34m

Granit Xhaka

2. Sadio Mane – kutoka Southampton kwenda Liverpool

Kiasi: £36m

Sadio Mane

1. Hulk – kutoka Zenit kwenda Shanghai SIPG

Kiasi: £46.1m

Hulk 2

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here