Home Dauda TV VIDEO: UNA FURSA YA KUANGALIA MAGOLI YOTE YA SERENGETI BOYS VS SEYCHELLES

VIDEO: UNA FURSA YA KUANGALIA MAGOLI YOTE YA SERENGETI BOYS VS SEYCHELLES

789
0
SHARE

IMG-20160626-WA0015

Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imepata ushindi wa magoli 3-0 dhidi ya Seychelles katika mchezo wa kuwania kushiriki fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana.

Nickson Kabage, Ibrahim Abdallah na Ally Hussein ndiyo walifunga magoli ya Serengeti Boys kwenye mchezo huo.

shaffihdauda.co.tz inakupa fursa ya kuangalia magoli yote matatu ya Serengeti Boys yaliyofungwa kwenye mchezo huo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here