Home Kitaifa CONFIRMED: MOHAMED MKOPI ATUA MBEYA CITY

CONFIRMED: MOHAMED MKOPI ATUA MBEYA CITY

742
0
SHARE

IMG_201606176_122254

Klabu ya Mbeya City imemsaini kiungo mshambuliaji wa Tanzania Prisons Mohamed Mkopi kwa mkataba wa mwaka mmoja.

Mkopi ambaye alifanya vizuri kwenye msimu uliopita na kuisaidia klabu yake kumaliza katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa VPL baada ya kufanikiwa kuvuna jumla ya pointi 51 katika michezo yake 30.

Nyota huyo aliweka kambani bao 6 katika msimu mzima, alichangia kwa kiasi kikubwa kung’ara kwa mshambuliaji Jeremia Juma wa Prisons kwa kumpikia mabao lukuki na kumfanya striker huyo kumaliza ligi akiwa na magoli 11.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here