Home Dauda TV YANGA KUMEKUCHA UCHAGUZI KESHO,MANJI AZINDUA.

YANGA KUMEKUCHA UCHAGUZI KESHO,MANJI AZINDUA.

416
0
SHARE

Klabu ya yanga kesho inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wa viongozi mbalimbali katika na nafasi mbalimbali ikiwemo nafasi ya mwenyekiti,makamu na wajumbe wa kamati kuu.uchaguzi huo unatarajia kuanza kesho saa tano na kampeni zilizinduliwa leo na mwenyekiti wao bwana Yusuph Manji.

nimekuwekea hayo yaliyojiri pale jangwani leo hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here