Home Kitaifa PICHA 15: HIVI NDIVYO AFRICAN SPORTS ILIVYOIAGA VPL MBELE YA MTIBWA

PICHA 15: HIVI NDIVYO AFRICAN SPORTS ILIVYOIAGA VPL MBELE YA MTIBWA

1096
0
SHARE

IMG_0195

Kikosi cha African Sports cha jijini Tanga leo kimecheza mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu ya Vodacom baada ya kupanda msimu huu kikitokea ligi daraja la kwanza ambako kinarejea tena baada ya kushindwa kuhimili vishindo vya VPL.

Mtibwa ndio waliolitia misumari boti la Sports ambao walikuwa wakihitaji ushindi kwenye mchezo wa leo ili wasubiri matokeo ya washindani wenzao katika nafasi ya kujikwamua katika nafasi hiyo ya kwenda kucheza ligi daraja la kwanza.

Lakini hata hivyo, matokeo ya ushindi walioupata Ruvu JKT kwa kuifunga Simba 2-1 na ushindi wa magoli 2-0 wa Kagera Sugar dhidi ya Mwadui FC, bado matokeo hayo yalitosha kuziondosha timu hizo kwenye ligi hata kama zingepata ushindi.

Jaffar Kibaya (kulia) wa Mtibwa Sugar akitafuta mbinu ya kumuacha mlinzi wa kulia wa African Sports Mwaita Gereza
Jaffar Kibaya (kulia) wa Mtibwa Sugar akitafuta mbinu ya kumuacha mlinzi wa kulia wa African Sports Mwaita Gereza

IMG_0243

Jaffar Kibaya (kulia) akichuana vikali na Mwaita Gereza wa African Sports wakati wa mchezo wa kufunga dimba la VPL msimu huu kwenye uwanja wa Manungu Complex
Jaffar Kibaya (kulia) akichuana vikali na Mwaita Gereza wa African Sports wakati wa mchezo wa kufunga dimba la VPL msimu huu kwenye uwanja wa Manungu Complex

IMG_0233

Musa Chambega (katika) akimtoka Issa Rashid (kulia) wa Mtibwa Sugar
Musa Chambega (katika) akimtoka Issa Rashid (kulia) wa Mtibwa Sugar

IMG_0199

Shabani Nditi (kushto) akipambana na Juma Shemvuni wa African Sports
Boniphace Maganga (kushto) akipambana na Juma Shemvuni wa African Sports

IMG_0238

Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakipongezana baada ya Jaffar Kibaya kuifungia Mtibwa bao la pili dhidi ya African Sports
Wachezaji wa Mtibwa Sugar wakipongezana baada ya Jaffar Kibaya kuifungia Mtibwa bao la pili dhidi ya African Sports

IMG_0243

Juma Shemvuni (chini) akijaribu kuwazuia Jaffar Kibaya (kushoto) na Mzamiru Yassin wa Mtibwa Sugar
Juma Shemvuni (chini) akijaribu kuwazuia Jaffar Kibaya (kushoto) na Mzamiru Yassin wa Mtibwa Sugar

IMG_0193 IMG_0190 IMG_0191

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here