Home Kitaifa PICHA: MAPOKEZI WALIYOPEWA YANGA NA MASHABIKI WAO WAKITOKEA ANGOLA

PICHA: MAPOKEZI WALIYOPEWA YANGA NA MASHABIKI WAO WAKITOKEA ANGOLA

1178
0
SHARE

IMG_0332

Mabingwa mara mbili mfululizo wa VPL klabu ya Yanga leo imeingia jijini Dar es Salaam ikitokea Angola ilikokwenda kucheza mchezo wa marudiano kuwania kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika ambako licha ya kupoteza mchezo wao lakini wamefanikiwa kufuzu kwa hatua hiyo.

Umati mkubwa wa mashabiki umejitokeza kuipokea timu yao wakati inarejea Dar na kuujaza uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Intenational Airport.

Mashabiki ha hawakuishia uwanja wa ndege, waliongozana na basi lililobeba wachezaji kuelekea makao makuu ya klabu hiyo mtaa wa Twiga na Jangwani, Kariakoo.

Timu nzima ya shaffihdauda.co.tz ilikuwepo eneo la tukio na kufatilia kwa karibu mapokezi hayo ya aina yake na hapa inakuletea picha za matukio kadhaa za matukio mbalimbali yaliyojiri

Enjoy picha….

IMG_0113 IMG_0127 IMG_0140 IMG_0185 IMG_0143 IMG_0134 IMG_0204 IMG_0116 IMG_0272 IMG_0331 IMG_0307 IMG_0336 IMG_0332 IMG_0320 IMG_0278

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here