Home Dauda TV KUMBE CHEGE NA MADEE NI WANAJANGWANI!

KUMBE CHEGE NA MADEE NI WANAJANGWANI!

954
0
SHARE

maxresdefault

Ukiachana na masuala ya jukwaani na kuonekana kwenye runinga, mastaa wa Bongo Flavor Chege na Madee ni wasanii ambao wanaishabikia timu ya Yanga ambayo ni mabingwa kwa mara nyingine katika msimu huu wa ligi ya Vodacom Tanzania bara.

Dauda TV imewanasa wakali hao kijeweni na kupiga nao story kibao kusu masuala ya soka, wamefunguka vitu vingi ambavyo inawezekana hapo awali ulikuwa huvijui.

Ukitaka kujua mengi kutoka kwao, angalia video hapa chini upate madini kibao kutoka kwao.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here