Home Dauda TV VIDEO: LIVERPOOL vs VILLARREAL, ALI KIBA AELEZEA MAPUNGUFU YA LIVERPOOL

VIDEO: LIVERPOOL vs VILLARREAL, ALI KIBA AELEZEA MAPUNGUFU YA LIVERPOOL

1101
0
SHARE

arton6100

Katika mishemishe za town, www.shaffihdauda.com imekutana na mkali wa muziki wa Bongo Flavor Ali Kiba ambaye ni shabaki wa kutupwa wa Liverpool ya nchini England.

Leo kuna pambano kali za Europa League, Liverpool itakuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani kukabili Villarreal kutoka Hispania. Mchezo wa kwanza Liverpool ilikubali kichapo cha bao 1-0 ugenini hivyo leo inahitaji ushindi wa kuanzia magoli 2-0 ili kufuzu moja kwa moja kwenye hatua ya fainali.

Dauda TV imepiga story na King Kiba kutaka kujua mtazamo wake kuelekea mchezo huo ambao ni muhimu kwa klabu yake ya Liverpool ili kupata ushindi ili ifike fainali.

Huyu hapa ALI KIBA akielezea mapungufu ya timu yao kuelekea mchezo huo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here