Home Dauda TV EXCLUSIVE: JE WAJUA DIAMOND PLATNUMS ALIMWAMBIA NINI SHAFFIH DAUDA WALIPOKUTANA KIJIWENI?

EXCLUSIVE: JE WAJUA DIAMOND PLATNUMS ALIMWAMBIA NINI SHAFFIH DAUDA WALIPOKUTANA KIJIWENI?

1024
0
SHARE

Watu wengi wanamfahamu Diamond kama mkali wa muziki wa Bongo Flavor Tanzania, lakini jamaa hata kwenye upande wa michezo pia yumo na inawezekana kabisa ulikuwa hujui kuhusu mambo kadhaa ya kimichezo kuhusu Baba Tiffah.

Shaffih Dauda amechonga mambo machache na makali huyo baada ya kukutana nae kitaa katika pilikapilika za kila siku na akafanya naye Exclusive interview ili kukuletea wewe msomaji wa www.shaffihdauda.com mambo kadha wa kadha ambayo huyajui kuhusu upande wa pili wa maisha ya mtoto huyu wa Tandale.

Kama vipi dondoka na video hapa chini ui-enjoy mwenyewe 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here