Home Ligi EPL PICHA: ‘VIJIMAMBO’ BAADA YA LEICESTER KUSHINDA TAJI LA PREMIER LEAGUE

PICHA: ‘VIJIMAMBO’ BAADA YA LEICESTER KUSHINDA TAJI LA PREMIER LEAGUE

1036
0
SHARE
Gary Lineker mtangazaji wa mechi kati ya Chelsea vs Tottenham aliahidi kutangaza mechi hiyo bila kuvaa nguo

Unaweza ukasema usiku wa Jumatatu umekuwa mzuri sana kwa wachezaji na mashabiki wa Leicester, ni baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Premier League kwa historia ya aina yake.

Sare ya magoli 2-2 kati ya Chelsea dhidi ya Tottenham ilitosha kuwafanya The Foxes kuwa mabingwa huku ikiwa imesalia michezo miwili ligi kumalizika.

Sare hiyo imeifanya Spurs kuwa na pointi 70 point saba nyuma ya Leicester yenye pointi 77. Hata kama Leicester ikipoteza mechi zake mbili zijazo kisha Spurs ikashinda zote bado haita kuwa na faida kwa Spurs kwa maana ya ubingwa.

Angalia picha za matukio mbalimbali yaliyojiri wakati Leicester walipokuwa wakishangilia ubingwa wao.

Mashabiki wa Leicester wakiwa nje ya nyumba ya nyota wao Jamie Vardy wakisubiri kuangalia mechi ya Chelsea vs Tottenham
Mashabiki wa Leicester wakiwa nje ya nyumba ya nyota wao Jamie Vardy wakisubiri kuangalia mechi ya Chelsea vs Tottenham

Leicester-EPL 3 Leicester-EPL 2

Mashabiki wa Leicester City wakiwa vichwa chini baada ya Harry Kane kutupia bao kwenye mchezo Chelsea vs Spurs
Mashabiki wa Leicester City wakiwa vichwa chini baada ya Harry Kane kutupia bao kwenye mchezo Chelsea vs Spurs
Baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha zikaibuka shangwe toka kwa mashabiki wa Leicester wakiwa na uhakika na ndoo
Baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha zikaibuka shangwe toka kwa mashabiki wa Leicester wakiwa na uhakika na ndoo

Leicester-EPL 10 Leicester-EPL 5 Leicester-EPL 6 Leicester stars Leicester-win EPL Leicester-EPL 4 Leicester-EPL 1 Leicester-EPL

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here