Home Kitaifa PICHA 4: BOSS WA VODACOM ALIVYOSHUHUDIA PAMBANO LA SIMBA VS AZAM

PICHA 4: BOSS WA VODACOM ALIVYOSHUHUDIA PAMBANO LA SIMBA VS AZAM

1088
0
SHARE
. Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa mchezo wa Azam FC na Simba akisalimia na mshambuliaji wa timu ya Simba, HamisKiiza kabla ya kuanza kwa mchezo wa LigiKuu ya Vodacom Tanzania bara

Mechi ya Simba na Azam FC yashuhudiwa na mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Ian Ferrao, wakiwa ndiyo wadhamini wakuu wa ligi.

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao (watatukushoto) ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa mchezo wa Azam na Simba akiongozwa na Mtendaji mkuu wa timu ya Azam, Saad Kawemba kwenda kukagua timu hizo, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara, uliofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaa mjana, timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana

Mgeni rasmi katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Azam FC na Simba, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao akisalimiana na nahodha wa timu ya Azam FC, John Boko, kabla ya kuuanza kwa mtanange huo timu hizo zilizotoka sare bila ya kufungana kwenye uwanja waTaifa jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi  Mtendaji Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, aliyekuwa mgeni rasmi wakati wa mchezo wa Ligi Kuuya Vodacom Tanzania bara kati ya timu Azam na Simba akisalimiana na mlinda mlango wa timu ya Simba Vicent

Mgeni rasmi katika mechi ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kati ya Azam FC na Simba jana, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao, akiongozwa na msimamizi wa mechihiyo, Maiko Mbundara mara baada ya kumaliza kukagua timu hizo

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here