Home Entertainment PICHA 23: KILIVYO-HAPPEN KWENYE MEI MOSI SPORTS EXTRA BONANZA

PICHA 23: KILIVYO-HAPPEN KWENYE MEI MOSI SPORTS EXTRA BONANZA

1210
0
SHARE
Shaffih Dauda wa Mawingu Stars (kushoto) akijaribu kumtoka mchezaji wa Azania Bank wakati wa mchezo wao hatua ya makundi

Sports Extra Bonanza lilifanyika jana kwenye uwanja wa TCC Chang’ombe katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani (May day) ambapo mashirika na taasisi mbalimbali wao waliambua kujumuika kwa pamoja kupitia michezo katika kuadhimisha siku hiyo ambayo kitaifa ilifanyika mjini Dodoma.

Katika bonanza hilo, shirika la ndege la Fastjet limefanikiwa kuwa mabingwa wa bonanza hilo lililoshirikisha mchzo wa mpira wa miguu. Ushindi wa Fastjet ilikuwa pia ni sehemu ya kulipa kisasi kwa timu ya NSSF baada ya kuichapa kwa mikwaju ya penati 2-0 kwenye mchezo wa fainali ulioamuliwa kwa matuta.

Msimu uliopita NSSF iliwafanya Fastjet ngazi kuelekea fainali baada ya kuwatoa kwa mikwaju ya penati kwenye viwanja vya Leaders, msimu huu Fastjet wamewatoa wenyeji Clouds Media Group kupitia timu yao ya Mawingu Stars kwa magoli 2-0 wakati NSSF wao waliwatupa nje Raphael Logistic kwa kuwafunga bao 1-0.

IMG_0037

Ally Mayay wa Mawingu Stars (kulia) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya MOI
Ally Mayay wa Mawingu Stars (kulia) akiwania mpira na mchezaji wa timu ya MOI
Timu ya MOI (wenye jezi nyekundu) wakati ikichuana na TCC (wenye jezi nyeupe)
Timu ya MOI (wenye jezi nyekundu) wakati ikichuana na TCC (wenye jezi nyeupe)

IMG_0034 IMG_0017

Nahodha wa Mawingu Stars Mbwiga Mbwiguke akipasha kabla ya pambano dhidi ya Azania Bank
Nahodha wa Mawingu Stars Mbwiga Mbwiguke akipasha kabla ya pambano dhidi ya Azania Bank

IMG_0036 IMG_0021 IMG_0039 IMG_0029 IMG_0024 IMG_0035 IMG_0012 IMG_0011 IMG_0046

Wachezaji wa Mawingu Stars wakipongezana baada ya kufunga goli dhidi ya Azania Bank
Wachezaji wa Mawingu Stars wakipongezana baada ya kufunga goli dhidi ya Azania Bank

IMG_0019 IMG_0045

Kikosi cha Mawingu Stars kilichocheza na Azania Bank kikiwa kwenye picha ya pamoja
Kikosi cha Mawingu Stars kilichocheza na Azania Bank kikiwa kwenye picha ya pamoja
Dauda akitembea na mpira wakati timu yake ikichuana na Azania Bank kwenye mashindano ya Mei Mosi Sports Extra Bonanza
Dauda akitembea na mpira wakati timu yake ikichuana na Azania Bank kwenye mashindano ya Mei Mosi Sports Extra Bonanza

IMG_0047 IMG_0044

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here