Home Ligi EPL MADEE: WENGER ATUACHIE ARSENAL YETU, JE ? NI KWELI MUDA WA ARSENE...

MADEE: WENGER ATUACHIE ARSENAL YETU, JE ? NI KWELI MUDA WA ARSENE WENGER KUSEPA UMEWADIA

791
0
SHARE

ARSENE PICHABaadhi ya mashabiki wa klabu ya Arsenal hapo jana waliingia uwanjani na mabango ya kumtaka kocha wa timu hiyo Arsene Wenger ang’atuke,lakini pia kulikuwa na sehemu nyingine ya mashabiki ambao walikuwa bado na imani na kocha huyo amabye anataraji kufikisha miaka 20 mnamo mwezi October mwaka huu tangia aanze kuifundisha timu hiyo.

madee

Msanii wa muziki wa kizazi kipya  ( Bongo Flavour  ) MADEE ambaye pia ni shabiki wa Aresenal ameuambia mtandao huu kuwa anaungana na mashabiki wa timu hiyo duniani kote wanaotaka Wenger asepe,

ARSENE PICHA

”Atuachie timu yetu,yeye alikuja kufanya kazi na analipwa mshahara,kama ameshindwa kuiongoza timu kubeba taji kwa kipindi miaka 12 iliyopita ,mi nadhani muda umefika wa kutuachia timu yetu, alimaliza Hamad Ally maarufu kwa jina la MADEE ”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here