Home Kimataifa PICHA 13: FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN

PICHA 13: FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN

6089
0
SHARE
Farid ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo
Farid ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo
Farid ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo

Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye majaribio nchini Hispania akiwa na Club Deportivo Tenerife inayoshiriki ligi daraja la kwanza ‘Segunda Division’.

IMG-20160501-WA0000

Yusuf Bahkhesa ambaye ameambata na Farid Musa nchini humo amekuwa ikiipa www.shaffihdauda.co.tz updates za hapa na pale kuhusu yote yanayomuhusu Farid katika majaribio yake.

IMG-20160501-WA0001

Kwa mujibu wa Yusuf Bahkhesa, Farid ameshafanyiwa vipimo vya afya baada ya kuwavutia viongozi wa benchi la ufundi la Tenerife linaloongonzwa na kocha mkuu wa timu hiyo  Jose Luis Mart.

Picha zaidi za Farid Musa akifanya yake uwanjani wakati wa majaribio kwenye klabu ya Tenerife nchini Hispania…

Kiwango cha Farid kimeivutia timu ya Tenerife na iko tayari kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili
Kiwango cha Farid kimeivutia timu ya Tenerife na iko tayari kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili
Klabu ya Tenerife ya nchini Hispania imeshakameshamfania ipimo vya afya Farid na ipo kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili endapo atafuzu vipimo vya afya
Klabu ya Tenerife ya nchini Hispania imeshamfanyia vipimo vya afya Farid na ipo  tayari kumsajili kwa mkopo wa miaka miwili endapo atafuzu vipimo vya afya
Yusuf Bakhresa ameambatana na Farid Musa nchini Hispania kushuhudia kinda huyo zao la Azam Academy akihudhuria majaribio yake katika kuhakikisha anapata timu ya kucheza soka la kulipwa barani Ulaya
Yusuf Bakhresa (kulia) ameambatana na Farid Musa nchini Hispania kushuhudia kinda huyo zao la Azam Academy akihudhuria majaribio yake katika kuhakikisha anapata timu ya kucheza soka la kulipwa barani Ulaya
Uwepo wa Farid nchini Hispania unamfanya akose michezo iliyobaki kwenye ligi
Uwepo wa Farid nchini Hispania unamfanya akose michezo iliyobaki kwenye ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara (VPL)
Farid hakuwepo kwenye mchezo wa FA Cup wakati Azam ikifuzu hatua ya fainali ya michuano hiyo kwa kuifunga Madui kwa penati 5-3 baada ya sare ya kufungana magoli 2-2. Akaukosa pia mchezo wa ligi dhidi ya Majimaji Azam lilioshinda 2-0
Farid hakuwepo kwenye mchezo wa FA Cup wakati Azam ikifuzu hatua ya fainali ya michuano hiyo kwa kuifunga Mwadui kwa penati 5-3 baada ya sare ya kufungana magoli 2-2. Akaukosa pia mchezo wa ligi dhidi ya Majimaji, Azam iliposhinda 2-0

IMG-20160501-WA0008

Farid huenda akaiwahi mechi ya fainali ya FA Cup dhidi ya Yangaambayo itakuwa ndiyo mechi yake ya mwisho ya mashindano katika msimu huu wa 2015-2016
Farid huenda akaiwahi mechi ya fainali ya FA Cup dhidi ya Yanga ambayo itakuwa ndiyo mechi yake ya mwisho ya mashindano katika msimu huu wa 2015-2016
Club Deportivo Tenerife ipo nafasi ya 12 katika msimamo wa Segunda División yenye jumla ya timu 22
Club Deportivo Tenerife ipo nafasi ya 12 katika msimamo wa Segunda División yenye jumla ya timu 22

IMG-20160501-WA0004 IMG-20160501-WA0002

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here