Home Kimataifa FARID MUSA TAYARI KAPIMWA AFYA, ATASAINI DEAL SPAIN?

FARID MUSA TAYARI KAPIMWA AFYA, ATASAINI DEAL SPAIN?

1968
0
SHARE

IMG-20160429-WA0004

Habari njema kuhusu winger wa Azam FC na timu ya taifa ya Tanzania Farid Musa ni kwamba, leo amefanyiwa vipimo vya afya ili kujua ufiti wake, Tenerife wamesema ikiwa atafanikiwa kufaulu vipimo hivyo, wangependa wamchukue kwa mkopo wa miaka miwili (2).

IMG-20160429-WA0007

Farid Musa ameongezewa wiki moja nyingine ya majaribio na Club Deportive Tenerife ya nchini Hispania ambako ameenda kusaka mafanikio ya soka la kulipwa nje ya Tanzania.

IMG-20160429-WA0006

Yusuf Bakhresa ambaye yuko pamoja na Farid nchini Hispania, ameiambia www.shaffihdauda.co.tz kwamba inavyoonekana mpaka sasa Farid ananafasi kubwa ya kubaki kwenye klabu hiyo.

IMG-20160429-WA0005

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here