Home Dauda TV VIDEO: VIBWEKA VYA SOKA, MBWA AVAMIA PITCH NA KUSIMAMISHA MPIRA

VIDEO: VIBWEKA VYA SOKA, MBWA AVAMIA PITCH NA KUSIMAMISHA MPIRA

847
0
SHARE

Mbwa uwanjani

Ilibidi mchezo wa Copa Libertadores kati ya Tachira na Pumas usimame kwa muda kidogo baada ya mbwa kuingia kwenye pitch, unaweza kudhani haiwezekani lakini tukio hilo limetokea jana Jumanne (April 26.)

Mbwa huyo alianza kukimbia na kuzunguka uwanjani akifurahia uhuru wa maisha huku baadhi ya wachezaji wakionekana kucheza naye na wengine wakimshangaa.

Baabaye mbwa huyo alitolewa uwanjani kupisha mechi hiyo kuedelea ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Tachira kushinda kwa bao 1-0.

Enjoy video hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here