Home Dauda TV VIDEO: KAMPENI KUELEKEA UCHAGUZI KIFA ZAPAMBA MOTO

VIDEO: KAMPENI KUELEKEA UCHAGUZI KIFA ZAPAMBA MOTO

484
0
SHARE

Election+20161

Kichinjio cha kuwapata viongozi wa nafasi mbalimbali wa chama cha soka wilaya ya Kinondoni kitatumika mwishoni mwa wiki hii, pande zote za wagombea wanazidi kuomba ridhaa kwa viongozi wa vilabu mbalimbali na kampeni hizo jana zilifika zone ya Kigogo, Mburahati na mambo yalikua kama yanavyoonekana kwa kubofya video hapa chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here