Home Dauda TV JANGWANI KITAELEWEKA TAREHE 05 MWEZI WA SITA

JANGWANI KITAELEWEKA TAREHE 05 MWEZI WA SITA

559
0
SHARE

Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo imetangaza Juni 05, 2016 kuwa siku ya Uchaguzi Mkuu wa viongozi ndani ya klabu ya Young Africans SC ya jijini Dar es salaam.

Akiongea na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi TFF, Wakili Aloyce Komba amesema mchakato mzima wa uchaguzi wa klabu ya Young Africans utakuwa ndani ya siku 33, ambapo mchakato unatarajiwa kuanza rasmi Mei 03, 2016.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here