Home Kimataifa PICHA: AZAM FC ILIVYOPAMBANA NA ESPERANCE

PICHA: AZAM FC ILIVYOPAMBANA NA ESPERANCE

1196
0
SHARE
Jonh Bocco 'Adebayor' alidhibitiwa vyema na walinzi wa Esperance na kuwa na madhara madogo kiasi cha kushindwa kufunga goli. Bocco alifunga magoli mawili dhidi ya Bidvest Wits kwenye kwenye michuano ya CAF

Jonh Bocco ‘Adebayor’ alidhibitiwa vyema na walinzi wa Esperance na kuwa na madhara madogo kiasi cha kushindwa kufunga goli. Bocco alifunga magoli mawili dhidi ya Bidvest Wits kwenye kwenye michuano ya CAF

Usiku wa Jumatano Azam FC ambao walikuwa ni wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Afrika kupitia kombe la Shirikisho, walitupwa nje ya michuano hiyo baada ya kukubali kipigo cha magoli 3-0 mbele ya wapinzani wao Esperance ya Tunisia.

Kichapo hicho kinaifanya Azam kuyaaga mashindao hayo kwa kufungwa jumla ya magoli 4-2 na kuicha Esperance isonge mbele kwa hatua inayofuata.

Hizi ni picha 10 zinazoonesha matukio mbalimbali wakati Azam wakiwa uwanjani kupambana na Esperance. (Picha zote kwa hisani ya www.azamfc.co.tz)

Wachezaji wa kikosi cha Azam wakihamasishana kabla ya kuanza kwa mechi yao dhidi ya Esperance

Himid Mao (kulia) lakini aliingia badaye dakika ya 79, Mao pia hakucheza kabisa kwenye mchezo wa awali uliozikutanisha klabu hizo jijini Dar es Salaam

Mashabiki wa Esperance
Mashabiki wa Esperance wakiendelea kuingia kwa wingi uwanjani kui-support timu yao kwenye uwanja wao wa nyumbani ilipokuwa ikikabiliana na Azam FC 

Azam-Tunis 2

Juma lililopita kuna taarifa zilitoka zikisema Farid Musa amesafiri kuelekea Hispania kufanya majaribio kwenye klabu moja ya kuko, lakini alionekana kwenye kikosi cha Azam kilichocheza dhidi ya Esperance na kuzua maswali mengi kwa watu

Farid Musa akitolewa nje ya uwanja kwa gari maalum la kubebea wagonjwa wanaoumia uwanjani
Farid Musa akitolewa nje ya uwanja kwa gari maalum la kubebea wagonjwa wanaoumia uwanjani kama kwenye baadhi ya viwanja vya Ulaya
Sure Boy (kushoto) alianza kwenye mchezo wa jana licha ya kuwepo taarifa kwamba kulikuwa na mashaka ya kumkosa, hata hivyo alipumzishwa dakika ya 79 kipindi cha pili

Allan Wanga (wa kwanza kushoto) na wachezaji wengine wa Azam wakiwa benchi, mchezaji huyo wa Kenya amekuwa na wakati mgumu kwenye kikosi cha Azam kutokana na kukosa kabisa nafasi ya kuanza kwenye kikosi cha kwanza cha Azam

Ramadhani Singano (Messi) amekuwa ni msaada mkubwa kwenye kikosi cha Azam siku za usoni tangu aliojihakikishia nafasi kwenye kikosi hicho. Messi ndiye aliyefunga goli la pili dhidi ya Esperance kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Dar

Azam-Tunis 9

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here