Home Kimataifa JOL: KILA TUNAPOPITA TUNAONYESHWA TATU, TUMEJIANDAA

JOL: KILA TUNAPOPITA TUNAONYESHWA TATU, TUMEJIANDAA

618
0
SHARE
Kocha mkuu wa Al Ahly Martin Jol (kushoto) akiteta jambo na wasaidizi wake wa benchi la ufundi wakati wa mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa taifa

Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri ambayo kesho itashuka kwenye uwanjani kuumana na wenyeji wao Yanga Martin Jol ametoa kali akisema kila anapopita wanaonyeshwa wanapigwa tatu ishara ambayo itabidi wajiandae.

Jol amesema hilo Ijumaa siku moja kabla ya mechi yao dhidi ya Yanga wakati Al Ahly ikifanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa ambapo amesema kila kitu kipo sawa kwao tayari kwa kukabiliana na Yanga.

Wachezaji wa Al Ahly wakifanya mazoezi yao ya mwisho kwenye uwanja wa taifa kujiandaa na mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Yanga
Wachezaji wa Al Ahly wakifanya mazoezi yao ya mwisho kwenye uwanja wa taifa kujiandaa na mchezo wao wa klabu bingwa Afrika dhidi ya Yanga

Amesema amefurahia kukuta Uwanja mzuri wa kisasa ambaop ndiyo utatumika kwa mchezo jambo ambalo hakulitegemea kabla ya kuuona.

“Watu wanatuonyesha tatu kila tunapopita ukiona hilo lazima uwe tayari na sisi tumejiandaa katika hilo changamoto niliyonayo ni kuchagua wachezaji watakaoanza,” amesema Jol.

Wachezaji wa Al Ahly kutoka Misri wakipumzika mara baada ya kufanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuikabili Yanga Jumamosi kwenye uwanja wa taifa
Wachezaji wa Al Ahly kutoka Misri wakipumzika mara baada ya kufanya mazoezi yao ya mwisho kabla ya kuikabili Yanga Jumamosi kwenye uwanja wa taifa

“Jmabo zuri nililolifurahia Tanzania watu ni wakarimu sana ni nchi nzuri nafikiria kuja tena hata huu uwanja ni mzuri nimeupenda nyasi zake zipo sawa sikutegemea hili.”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here