Home Dauda TV HIKI KIFAA CHA KITURUKI NA RONALDO VIPII? (Video & Picha)

HIKI KIFAA CHA KITURUKI NA RONALDO VIPII? (Video & Picha)

1005
0
SHARE

Ronaldo-mrembo

Model wa Uturuki Cansu Taskin amejitokeza kwenye television ya nchini kwao wiki ili kujadili uhusiano wake na star wa Real Madrid Cristiano Ronaldo.

Kwa mujibu wa Cansu Taskin, huwa anawasiliana kila mara na nahodha huo wa timu ya taifa ya Ureno.

Mrembo

Mrembo huyo mwenye miaka 21 kwa sasa amekuwa kwenye headlines za vyombo mbalimbali vya habari nchini Uturuki japokuwa hakuna uhakika kwamba Ronaldo anauhusiano wa kimapenzi na kimwana huyo.

Mrembo 1

Inadhaniwa Ronaldo huwa anazungumza na dada huyo kupitia mitandao yake ya kijamii (mrembo huyo ana-followers wengi kwenye mtandao wa Instagram.)

Angalia interview yake na TV moja ya Uturuki hapa chini 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here