Home Dauda TV INAWEZEKANA HUKUONA RAMOS NA CASEMIRO WALIVYOITULIZA MSN, ANGALIA VIDEO HII…

INAWEZEKANA HUKUONA RAMOS NA CASEMIRO WALIVYOITULIZA MSN, ANGALIA VIDEO HII…

905
0
SHARE

Ramos-Casemiro

Kufuatia ushindi wa magoli 2-1 walioupata Real Madrid dhidi ya Barcelona, Spanish TV iliwaangazia Sergio Ramos na Casemiro namna walivyoizimisha MSN ya Barcelona kwenye mchezo wa El Clasico.

Baadaye Ramos alitolewa nje ya mchezo huo kwa kadi nyekundu baada ya kuoneshwa kadi ya pili ya njano

Kabla ya Ramos kutolewa nje, centre-half huyo alicheza kwa kujituma na kutumia nguvu bila uoga uku akizima mashambulizi kadhaa yaliyokuwa hatari langoni kwake.

Kwa upande wa Casemiro, akicheza nafasi ya kiungo mkabaji, mbrazil huyo aliilinda vyema safu yake ya ulinzi kwa kufanya ‘interceptions’ kadhaa dhidi ya ma-star wa Barca.

Angalia video hapa chini uone Ramos na Casemiro walivyochafua hali ya hewa dhidi ya MSN

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here