Home Dauda TV ANGALIA SHUGHULI ALIYOIFANYA SAMATTA DHIDI YA CHAD

ANGALIA SHUGHULI ALIYOIFANYA SAMATTA DHIDI YA CHAD

708
0
SHARE

samattachad

Jana Stars ilipata ushindi wa bao 1-0 ugenini dhidi ya Chad katika harakati za kuwania kufuzu kucheza michuano ya mataifa ya Afrika mwaka 2017.

Bao pekee lililoipa Stars ponti tatu lilifungwa na nahodha mpya wa kikosi hicho Mbwana Samatta ambaye alikuwa anacheza kwa mara ya kwanza kama nahodha Stars tangu kuteuliwa kwake.

Stars itacheza mchezo wa marudiano dhidi ya Chad March 24 siku ya Jumatatu ya Pasaka kwenye uwanja wa taifa.

Kama haukulishuhudia bao hilo, shaffihdauda.co.tz inakupa fursa ya kulishuhudia goli hiilo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here