Home Kimataifa Alex Sanchez akiwa nyumbani hafanyi kitu hiki hata siku moja.

Alex Sanchez akiwa nyumbani hafanyi kitu hiki hata siku moja.

590
0
SHARE

Screen Shot 2016-03-24 at 9.39.13 PM

Alex Sanchez mchezaji tegemezi wa club ya Arsenal licha ya kupata kipato chake kutoka kwenye soka lakini hatumii muda wake wa akiwa nyumbani kuangalia soka hata siku moja. Unaweza kusema kwamba anaweza kuwa nyumbani anaangalia timu nyingine zinavyocheza au kucheza PlayStation lakini sivyo hivyo.

Sanchez ameongea kwenye Youtube channel ya Arsenal na kusema kwamba akiwa nyumbani ni muda wake wa ku-connect na familia na ku-disconnect na mambo ya soka aweze ku-relax. “Mimi sio mpiga kinanda professional lakini kinanisaidia ku-relax. Kwa kawaida siku yangu nzima inazungukwa na soka, sasa nikiwa nyumbani sijihusishi na soka inanisaidia ku-disconnect na mambo ya soka na nikitu kizuri kwangu. Nikienda nyumbani siangalii soka tena, nacheza na mbwa wangu na pia kukaa na familia yangu. Hiyo inanisaidia kuwa mtu mpya na kuongeza nguvu ambayo nataka kutoa uwanjani”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here