Home Kitaifa ISOME BARUA YA SIMBA WAKIISHTAKI TFF, YANGA NA AZAM KWA NAPE NNAUYE

ISOME BARUA YA SIMBA WAKIISHTAKI TFF, YANGA NA AZAM KWA NAPE NNAUYE

1167
0
SHARE
Haji Manara-Afisa habari Simba SC
Haji Manara-Afisa habari Simba SC
Haji Manara-Afisa habari Simba SC

Klabu ya Simba imepeleka barua ya malalamiko kwa Waziriri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na michezo Mh. Nape Nnauye wakilalamikia Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kushindwa kushughulikia malalamiko yao, kulea makosa na kutosimamia ipasavyo sheria za mchezo wa soka.

Kbla ya kuipeleka barua hiyo kwa Waziri Nnauye afisa habari wa Simba Haji Manara alikutana na waandishi wa habari kwenye ofisi za TFF ambako alifanyanao mkuno kisha kukabidhi barua hiyo kwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu na baadaye kuelekea wizara husika.

Hii hapa barua ya Simba iliyowasilishwa kwa Waziri mwenye dhamana ya kusimamia michezo Mh. Nape Nnauye.


IMG-20160323-WA0019 IMG-20160323-WA0018 IMG-20160323-WA0016IMG-20160323-WA0020

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here