Home Ligi EPL Baada ya kufukuzwa kazi Steve McClaren aenda kupoza maumivu.

Baada ya kufukuzwa kazi Steve McClaren aenda kupoza maumivu.

505
0
SHARE

3

Kocha Steve McClaren baada ya kufukuzwa kazi na club ya Newcastle amesafiri hadi Caribbean na mke wake kwa ajili ya kupoza maumivu.

McClaren alifukuzwa kazi baada ya miezi 8 tu baada ya kupewa kazi St James’ Park. Kocha huyo mwenye miaka 54 ameamua kuchukua muda wake kupumzika baada ya kukosa kazi kwa sasa.

McClaren alionekana kuwa mtu ambaye hana stress akionyesha tabasamu siku za mwisho kabla hajaachishwa kazi. Rafael Benitez amechukua kazi ya McClaen akijaribu kuisaidia club hiyo isishuke daraja.

2 4 5 6

1

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here