Home Ligi EPL Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na...

Picha za Arsenal wakiwa kwenye mazoezi ya mwisho kabla ya kucheza na Barcelona.

1460
0
SHARE

1

Kikosi kizima cha Arsenal kimeshafika Hispania na leo hii wamefanya mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya kesho dhidi ya Barcelona.

Mechi ya kwanza Arsenal walifungwa kwa magoli 2-0 kwenye uwanja wa Emirates na kesho watajaribu kugeuza matokeo kama wataweza ili kusonga mbele kwenye UEFA.

Hizi ni picha za kikosi cha Arsenal chini ya manager Wenger wakifanya mazoezi.

2 3 4 5 6 7 8 mzee

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here