Home Kimataifa Edo Kumwembe awaongoza watanzania kumpa support Samatta.

Edo Kumwembe awaongoza watanzania kumpa support Samatta.

1009
0
SHARE

1

Mchambuzi wa soka Edo Kumwembe pamoja na baadhi ya watanzania jana walikuwepo kwenye dimba la Crystal Arena kumpa support Mbwana Samatta.

Edo Kumwembe amaeenda kwa ajili ya kazi zake za ki uandishi wa habari ambapo aliingia uwanjani kwenda kuangalia mechi hiyo na kushudia mtanzania mwenzetu akifunga goli muhimu kwa ajili ya club yake.

3

Kuna kitu kinatokea kila tukimtembelea Samatta kwenda kuangalia mechi zake lazima atupie. Kwenye mechi niliyoenda mimi alifunga kwa mara ya kwanza. Kwenye mechi hii ametupia kwa mara ya pili Edo Kumwembe akiwa uwanjani.

Watanzania wote mnaishi Belgium ni vizuri kwenda uwanjani kuangalia mechi za mtanzania mwenzetu mkiwa mmevaa jezi yake. Big up kwa Edo na watanzania wengine mlioenda kuangalia mechi hii.

1 2

 

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here