Home Ligi EPL MAN CITY YAJIWEKA NJIA PANDA MBIO ZA UBINGWA EPL

MAN CITY YAJIWEKA NJIA PANDA MBIO ZA UBINGWA EPL

541
0
SHARE

City-Norwich

Matumaini ya Manchester City kutaka kuchukua ndoo ya ligi ya Uingereza msimu huu yamezidi kudidimia baada ya kutoka sare ya 0-0 na klabu ya Norwich City na kusalia nyuma ya viongozi wa ligi Leicester kwa pointi tisa zikiwa zimesalia mechi tisa.

Kipa wa Norwich alilazimika kufanya kazi ya ziada ili kuzuia mashambulio mawili ya Sergio Aguero huku timu hiyo ikiwa nyumbani ikifanikiwa kuizuia miamba ya City.

City-Norwich 2

Norwich (4-2-3-1): Ruddy 7; Martin 6.5, Bennett 7, Klose 7.5, Olsson 7; Howson 6.5, O’Neil 6; Redmond 6 (Dorrans 44 6), Hoolahan 6 (Mbokani 67), Jarvis 6; Bamford 6.5 (Jerome 67)

Sub zisizotumika: Rudd (Gk), Bassong, Mulumbu, Pinto Booked: Bennett, O’Neil, Howson

City-Norwich 1

Manchester City (4-4-2): Hart 6; Sagna 6 (Zabaleta 84), Kompany 6.5, Otamendi 6.5, Clichy 7; Navas 5 (Iheanacho 77), Fernando 6, Fernandinho 6.5, Silva 5.5; Aguero 7, Bony 6 (Sterling 58 6.5)

Sub zisizotumika: Caballero (Gk), Zabaleta, Kolarov, Demichelis, Garcia, Iheanacho

Man of the match: Klose (Norwich)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here