Home Ligi EPL Wachezaji wa Arsenal wafanya kikao cha siri kujadili mbio za ubingwa EPL...

Wachezaji wa Arsenal wafanya kikao cha siri kujadili mbio za ubingwa EPL bila Wenger.

824
0
SHARE

wengwr

Wachezaji wakubwa wa club ya Arsenal walikua kwenye wakati mgumu ambapo striekrs wameshindwa kufunga ili timu yao ipate ushindi kuelekea ubingwa wa EPL. Draw ya Spurs 2-2 imewaweka pabaya Arsenal licha ya kucheza vizuri wakiwa na wachezaji 10.

Baada ya ushindi wa jana usiku dhidi ya Hull City Walcott alisema, “Hatuwezi kusema uongo, umoja ni swala msingi sana hasa tukiwa kwenye harakati za ligi. Tulikua na kikao cha siri kati yetu kuzungumzia mwendendo wa club bila hata manager wetu kuwepo. Nadhani ni muhimu kwa mashabiki na club nzima kujua kwamba sisi pia tunalo hili swala la ubingwa kwenye vichwa vyetu. Tunajaribu kuwa na hali ya kutoku give up mapema kwasababu tuna wachezaji wakubwa kwenye uzoefu na uwezo kama Cech,Arteta,Rosicky na wengine”

Walcott aliulizwa kama Wenger alishtukia hicho kikao baadae alijibu hivi, “Lazima alijua kwasababu manager wa club ana macho kila sehemu ya club. Lakini anawaheshimu wachezaji kwa hiyo kila kitu kizuri kinachofanywa na wachezaji ana kiheshimu na kukipa usiri kama tuluvyoamua kuwa iwe kati yetu”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here