Home Entertainment Hizi ni picha za uwanja mpya wa Barcelona utakao ingiza fans 105,000.

Hizi ni picha za uwanja mpya wa Barcelona utakao ingiza fans 105,000.

1527
0
SHARE

civer

Barcelona inasababisha mashabiki kusafiri kutoka nchi mbalimbali kwenda Nou Camp kuangalia mechi za nyumbani za club hiyo. Sasa hivi wamewekeza kiasi cha £465 million ambapo inategemewa kukamilika ndani ya miaka 4.

Pia jina la uwanja huo unategemewa kuuza kwa kampuni ambayo haijatajwa na pesa zitakazolipwa zitakua sehemu ya funding ya ukarabati huo.

Design mpya ya uwanja huo ni kazi ya architects kutoka Japan Nikken Sekkei wakishirikiana na Catalan Studios Pascual. Designer wa uwanja huo wamesema, “Uwanja huu utakua rafiki wa mazingira, utatengeneza vivuli vya kutosha kutokana na angle zote za jua na kuwafanya mashabiki wafurahie mechi wakiwa comfortable. Pia uwanja huu utakua kivutio na icon ya hapa “

1 2 3 civer

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here