Home Ligi EPL Suarez ndani ya uwanja wa mazoezi wa Liverpool.

Suarez ndani ya uwanja wa mazoezi wa Liverpool.

783
0
SHARE

31FD267800000578-3481933-image-a-12_1457440790885

Barcelona star Luis Suarez ameitembelea club yake ya zamani ikiwa kwenye uwanja wa mazoezi ndani ya Melwood leo. Suarez alisema Liverpool mwaka 2014 kwa dau la pound 75 na kujiunga na Barcelona ambapo amekua mchezaji muhimu kwenye mashindano yote ya Barcelona.

Suarez akiongea na website ya Liverpool alisema,”Nimefurahai kuiona Liverpool, watu wa hapa wako poa sana na siku zote na wamisss. Nilitaka kuja kuwasalimia marafiki zangu wa muda mrefu. Hapa nina marafiki wazuri sana. Siku zote najitahidi kuangalia mechi za Liverpool au kufatilia matokeo yao. Kuona Liverpool inafanya vizuri ni kitu muhimu maishani mwangu”, alisema Suarez.

31FD254500000578-3481933-image-a-14_1457440803291

31FCBEEF00000578-3481933-Suarez_left_was_all_smiles_as_he_gave_a_thumbs_up-a-45_1457437365244

31FCB50800000578-3481933-image-a-44_1457437365220

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here