Home Entertainment Rooney yupo batani,huku Manchester United wanachapwa.

Rooney yupo batani,huku Manchester United wanachapwa.

638
0
SHARE

ronnry

Wayne Rooney ame-risk utaratibu wa kupona mguuu wake ambapo bado yupo kwenye matibabu kwa kucheza na mnyama mkali chui.

Rooney amechagua kwenda Dubai ku-enjoy siku 30 alizopewa off na boss wake LVG ili kuuguza mguu wake. Rooney anategemewa kuwa fit kwa ajili ya michuano ya Euro 2016.

Akiwa Dubai Rooney ametumia muda wake kucheza na chui na wanyama wengine wakati mguu wake ukiwa bado kwenye matibabu.

Rooney inasemakana amefikia kwenye chumba cha hotel exlusive ambapo inasemakana analipa kiasi karibia Tsh 3,000,000 kwa siku. Rooney anategemewa kurudi kwenye kikosi cha United mwishoni mwa mwezi huu.

Manchester ipo kwenye hali mbaya ambapo hawana matumaini ya kumaliza kwenye top 4 baada ya kupoteza michezo ya muhimu hasa wakati huu msimu unavyoisha.

ronnry3 ronnry32

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here