Home Ligi EPL Tetesi : Huyu ndiye kocha mpya wa Chelsea msimu ujao.

Tetesi : Huyu ndiye kocha mpya wa Chelsea msimu ujao.

2272
0
SHARE

roman

Unaambiwa hadi sasa mmiliki wa club ya Chelsea Roman Abramovich ameshawambia wafanyakazi wa karibu wa Chelsea kwamba kocha wao kwenye msimu ujao ni Antonio Conte.

Hili sio official announcement lakini gazzeti la Corriere Dello Sport limetoa ripoti hii kwamba mmiliki wa Chelsea amekutana na kocha huyu weekend iliyopita huko Monaco kwa ajili ya makubaliano.

Source nyingine inasema kwamba Roman atakutana na Conte siku saba zijazo kwa ajili ya ku sign mkataba wa kufanya kazi na Conte kwenye msimu unaokaribia kuisha.

conte

Conte kwa sasa ni kocha mkuu wa Italy na anapenda sana kutumia mfumo wa 3-5-2. Conte kwenye maisha nje ya soka ni baba ambae anajali sana familia yake. Aliwahi kusema kwamba nina mke ambaye ananijali muda wote najiskia nipo na mtu muhimu. Binti wangu nae anaelewa kazi ya baba yake hata nisipopata ushindi kwenye mechi anakua mtu ambae hana raha.

Tusubiri siku sana kujua ukweli juu ya hili jambo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here