Home Ligi BUNDESLIGA Lewandowski amesema hataki kiatu cha dhahabu, anataka hiki.

Lewandowski amesema hataki kiatu cha dhahabu, anataka hiki.

499
0
SHARE

lea Mfungaji anayeongoza kwa kutupia nyavuni mara nyingi kwenye ligi ya Bundesliga ana magoli 23 akiwa mbele kwa goli moja dhidi ya Aubamayeng.

Lewandowski kwenye interview yake amesema kwamba yeye hataki kushinda kiatu cha dhahabu, lengo lake ni kushinda ubingwa wa Bundesliga. “Tupo points 5 mbele, kitu muhimu kwetu ni kushinda Bundesliga na sio kiatu cha dhahabu. Kuna sababu kwamba hakuna club ambayo imeshinda Bundesliga mara 4 mfululizo. Tunataka kufanikiwa hivyo na itakua story kubwa kushinda Bundesliga na tutapambana hadi mwisho.”

Lewandowski anakubali kwamba kuna hali ngumu lakini lazima wafanikishe, “Kwenye hizi mbio kuna kitu muhimu sana kwa Pep kwasababu anaondoka, tunataka kupita kwenye robo fainali ya UEFAm kucheza German Cup Final na kushinda Bundesliga pia”.

Jumamosi ya tarehe 4/3/2015 kutakua na mechi muhimu ambayo itaendelea kutoa direction ya ubingwa wa Bundesliga kati ya Borussia Vs Bayern Munich. Mechi hiyo itakua Live kwenye Startimes mida ya saa 2:30 usiku kwenye channel ya Sports Arena.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here