Home Kimataifa NINI KINAENDELEA KATI YA NEYMAR NA HUYU STAR WA HOLLOYWOOD?

NINI KINAENDELEA KATI YA NEYMAR NA HUYU STAR WA HOLLOYWOOD?

572
0
SHARE

Neymar-na-mtoto

Je Neymar ana date na mwigizaji wa Holloywood? Inawezekana isiwe kweli, lakini kuna picha (SnapChat) iliyosababisha magazeti ya udaku yaandike mengi kuhusu star huyo wa Barcelona na Brazil.

Striker huyo wa Barca ameonekana kwenye picha hiyo iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akiwa na mdada wa kimarekani A-lister Chloë Grace Moretz.

Moretz ambaye anamiaka 19 ni miongoni mwa ma-star wanaofanya vizuri kwenye film kwa sasa.

Dada huyo aliweka wazi hivi karibuni kupitia mtandao wa kijammii namna ambavyo anamzimia Neymar.

Picha hiyo iliambatana na mnara wa Paris maarufu kama Eiffel Tower kitu ambacho kilizua maswali pia huenda nyota huyo akatimkia PSG? Lakini pia hilo limekua gumu kwasababu star huyo hivi karibuni ameongeza mkataba na klabu yake.

chloe-neymar

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here