Home Kimataifa Diego Maradona amtetea Gonzalo Higuain

Diego Maradona amtetea Gonzalo Higuain

481
0
SHARE

maradona

Rais wa Napoli Aurelio De Laurentiis alisema kwamba Higuain amezidisha uzito wake kutoka kwa ule wa kawaida tuliouzoea. Rais huyo alisema, “Inabidi apunguze kilo moja na nusu na magoli ya kila wiki yatarudi. Atarudi kwenye mwili wake bora wa zamani kama mwezi mmoja uliopita”

Higuain alimaliza njaa yake ya magoli baada ya kufunga 1-1 kwenye mechi dhidi ya Fiorentina hapo ndio Rais huyo aka-tweet kuhusu ishu hii.

Maradona ambae ni mu-argentina mwenzake na aliwai kucheza club ya Napoli hajakubaliana na maneno ya Rais huyo. Maradona amesema, “Yeye kama Rais wa club alitakiwa kukwepa kuzungumzia jinsi mchezaji wake muhimu ameongezeka uzito. Huwezi kuzungumzia kitu kama kile kwa mchezaji kwa style ile labda kama kuna mambo hayapo sawa ndani. Nadhani ingekua idea nzuri kwa yeye kuongeza nae private na sio wazi wazi in public”

Gonzalo ni mchezaji muhimu kwa Napoli kwasababu yeye ndio mfungaji mkuu na anaongoza kwa ufungaji kwenye ligi ya Seria A. Mechi inayofuatia ya Napoli ni dhidi ya ChievoVerona ambayo itaruka Live kwenye Startimes siku ya March 5.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here