Home Kimataifa PATA FURSA YA KUANGALIA PICHA 12 SAMATTA AKIWA KAZINI BELGIUM

PATA FURSA YA KUANGALIA PICHA 12 SAMATTA AKIWA KAZINI BELGIUM

1136
0
SHARE
Mbwana akimtoka mchezaji wa Club Brugge wakati wa mchezo wa Belgium Pro League dhidi ya Club Brugge
Mbwana akimtoka mchezaji wa Club Brugge wakati wa mchezo wa Belgium Pro League dhidi ya Club Brugge
Mbwana akimtoka mchezaji wa Club Brugge wakati wa mchezo wa Belgium Pro League dhidi ya Club Brugge uliopigwa weekend iliyopita kwenye uwanja wa nyumbani wa klabu ya Genk Cristal Arena, Genk Belgium

Nyota wa Bongo Mbwana Samatta jana aliingia kwenye vichwa vya habari baada ya kufanikiwa kupachika bao lake la kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Genk inayoshiriki ligi kuu ya Belgium inayofahamika kama Belgium Pro League.

Samatta ameungana na mshambuliaji kinda wa Manchester United Marcus Rashford ambaye pia jana alifunga kwa mara ya kwanza kwenye ligi ya England ambapo alifanikiwa kufunga magoli mawili kati ya matatu wakati timu yake ikipata ushindi wa mabao 3-2 kwenye uwanja wake wa nyumbani dhidi ya Arsenal.

Angalia picha kadhaa wakati Samatta akichakarika uwanjani kuonesha uwezo wake wa kusakata gozi la ng’ombe.

Mwanaume akifanya warm up kabla ya kuingia dimbani kufanya yake wakati wa mchezo kati ya Genk vs Club Brugge
Mwanaume akifanya warm up kabla ya kuingia dimbani kufanya yake wakati wa mchezo kati ya Genk vs Club Brugge
Mbwana Samatta akiwa kwenye touch line akisubiri kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis dakika ya 79 ya mchezo huo
Mbwana Samatta akiwa kwenye touch line akisubiri kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis dakika ya 79 ya mchezo huo
Samatta akigusa ardhi na kubusu wakati anaingia uwanjani kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis
Samatta akigusa ardhi na kubusu wakati anaingia uwanjani kuchukua nafasi ya Nikolaos Karelis
Tayari jamaa ameshaingia uwanjani kwa ajili ya kupambana kutafuta ushindi wakati huo klabu yake ilikuwa sare kwa magoli 2-2 dhidi ya Brugge
Tayari jamaa ameshaingia uwanjani kwa ajili ya kupambana kutafuta ushindi wakati huo klabu yake ilikuwa sare kwa magoli 2-2 dhidi ya Brugge

IMG_0657

IMG_0656

IMG_0658

IMG_0661

Mbwana akimtoka mchezaji wa Club Brugge wakati wa mchezo wa Belgium Pro League dhidi ya Club Brugge
Mbwana akimtoka mchezaji wa Club Brugge wakati wa mchezo wa Belgium Pro League dhidi ya Club Brugge
Samatta katika mishe-mishe za uwanjani
Samatta katika mishe-mishe za uwanjani
Samatta akikimbia kushangila bao lake la kwanza katika klabu ya Genk alilofunga dhidi ya Club Brugge
Samatta akikimbia kushangila bao lake la kwanza katika klabu ya Genk alilofunga dhidi ya Club Brugge
Samatta akipongezwa na mchezaji mwenzake baada kupasia kamba kuipa bao la ushindi klabu yake ya Genk
Samatta akipongezwa na mchezaji mwenzake baada kupasia kamba kuipa bao la ushindi klabu yake ya Genk mchezo huo ulimalizika kwa Genk kupata ushindi wa bao 3-2 dhidi ya Club Brugge

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here