Home Dauda TV SAMATTA APIGA BAO LA KWANZA GENK (Video)

SAMATTA APIGA BAO LA KWANZA GENK (Video)

1001
0
SHARE

IMG-20160228-WA0021

Mshambuliaji wa kitanzania Mbwana Samatta leo amefanikiwa kufunga bao lake la kwanza ndani ya klabu ya Genk wakati klabu hiyo ikiibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya  Club Brugge.

Genk ikiwa kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Cristal Arena ilipata mabao yake kupitia kwa Karelis, Buffel na Samatta ambaye alifunga bao la ushindi dakika ya 81 kipindi cha pili ikiwa ni dakia mbili tu tangu Samatta aingie kuchukua nafasi ya Karelis dakika ya 79.

Hizi ni baadhi ya picha za mechi kati ya KRC Genk dhidi ya Club Brugge mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Cristal Arena ambao ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya KRC Genk.

IMG-20160228-WA0018 IMG-20160228-WA0017 IMG-20160228-WA0013 IMG-20160228-WA0019 IMG-20160228-WA0015 IMG-20160228-WA0014Angalia video ya goli la Mbwana Samatta likiwa ni bao lake la kwanza tangu ajiunge na klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here