Home Ligi EPL MANCHESTER UNITED VS ARSENAL: MAMBO 4 MAKUBWA UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KABLA YA MCHEZO

MANCHESTER UNITED VS ARSENAL: MAMBO 4 MAKUBWA UNAYOPASWA KUYAFAHAMU KABLA YA MCHEZO

711
0
SHARE

man vs ars

4. Taarifa za majeruhi  

Manchester United:  Kuna idadi ya wachezaji wa kadhaa wa United ambao wako kwenye orodha ya majeruhi, lakini kuna mashaka kama Anthony Martial. Chris Smalling wakaungana na kikosi. David De Gea anatrajiwa kurejea dimbani.

Arsenal: Alex Oxlade-Chamberlain ni jina jipya kwenye orodha ya majeruhi wa Arsenal. Jack Wilshere, Tomas Rosicky and Santi Cazorla bado wanaendelea kuwa nje ya uwanja.

3. Head-to-head: kwenye mechi 5 zilizopita

Arsenal 3-0 Manchester United, October 2015 (Premier League)

Manchester United 1-1 Arsenal, May 2015 (Premier League)

Manchester United 1-2 Arsenal, March 2015 (FA Cup)

Arsenal 1-2 Manchester United, November 2014 (Premier League)

Arsenal 0-0 Manchester United, February 2014 (Premier League)

2. Makocha wanasemaje kuelekea mchezo wa leo?

Louis van Gaal: “Situmii wachezaji vijana kwa manufaa yangu mwenyewe, nafanya hivyo kuboresha timu. Philosophy yangu ni kutokuwa na kikosi kikubwa kwasababu wachezaji vijana watakosa nafasi”.

“Kutokana na hilo, unaweza ukaona wachezaji wengi vijana ambao wanaweza kuonesha ubora wao, na unaweza kupat matokeo. Lakini  ni hatari. Manchester United inahitaji kuwapa nafasi vijana. Huo ni utamaduni uliopo ndani ya Manchester United”.

Arsene Wenger:  “Ukiangalia mataji yote ambayo Manchester United imeshinda, kuwafunga kwenye uwanja wa Old Trafford inahitaji kuwa na upekee”.

“Tuko imara kwa hakika, lakini kunasafari ndefu mbele. Ni muda muafaka tunafanya kazi msimu mzima kwa ajili ya kipindi kama hiki na hapa ndipo unapojaribiwa na unahitaji kuonesha ubora wako”.

“Manchester United ni klabu kubwa, Old Trafford ni sehemu maalumu na naamini kwa kila klabu panabakia kuwa sehemu maalumu”.

“Kima mtu anapoteza pointi. Haitabiliki. Tumekuja na nguvu mpya kwenye Premier League na tunahitaji kuendelea kuwa hivyo. Tunahitaji kutoka kwenye kuvunjika moyo kutokana na matokeo dhidi ya Barcelona”.

1. Form ya timu zote kwa siku za hivi karibuni

man vs ars 1

Manchester United – mechi 5 zilizopita

Manchester United 5-1 FC Midtjylland (Europa League)

Shewsbury 0-3 Manchester United (FA Cup)

FC Midtjylland 2-1 Manchester United (Europa League)

Sunderland 2-1 Manchester United (Premier League)

Chelsea 1-1 Manchester United (Premier League)

Arsenal – mechi 5 zilizopita

man vs ars 2

Arsenal 0-2 Barcelona (Champions League)

Arsenal 0-0 Hull (FA Cup)

Arsenal 2-1 Leicester (Premier League)

Bournemouth 0-2 Arsenal (Premier League)

Arsenal 0-0 Southampton (Premier League)

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here