Home Dauda TV ULIMUONA INFANTINO BAADA YA KUTANGAZWA AMESHINDA URAIS WA FIFA? (Video)

ULIMUONA INFANTINO BAADA YA KUTANGAZWA AMESHINDA URAIS WA FIFA? (Video)

438
0
SHARE

Gianni 1

Gianni Infantino jana aliibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa rais mpya wa FIFA ambaye ataongoza shirikisho hilo hadi mwaka 2009.

Infantino alipata support kubwa kutoka kwa nyota kadhaa wa mchezo wa soka kama Luis Figo na Gianluigi Buffon.

Sasa FIFA imepata uongozi mpya ambao utakuwa na kazi kubwa ya kulisafisha shirikisho hilo ambalo limekuwa na taswira mbaya ya ubadhilifu wa fedha na rushwa ndani yake hali iliyopelekea wadhamini wengi kujiondoa.

Angalia video hapa chini namna Infantino alivyopokea matokeo baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro nyicho.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here