Home Ligi EPL RATIBA YA EUROPA LEAGUE HADHARANI, MAN UNITED, LIVERPOOL, USO KWA USO

RATIBA YA EUROPA LEAGUE HADHARANI, MAN UNITED, LIVERPOOL, USO KWA USO

1596
0
SHARE

Manchester vs Liverpool

Draw ya michuano ya Europa League raundi ya 16 bora imetoka ambao miamba ya ligi ya England Liverpool na Manchester United watakutana kwenye mchezo wa hatua hiyo.

Tottenham ni wakali wengine wa England ambao watapambana na vigogo vya Bundesliga Borussia Dortmund.

Valencia, managed by Gary Neville, will face La Liga rivals Athletic Bilbao, while Sevilla – the winners of the last two Europa League titles – are away to Basel, whose St Jakob-Park ground will host the final.

Valencia iliyo chini ya kocha ambaye aliitumia Manchester United kama mchezaji miaka kadhaa iliyopita ataiongoza timu yake dhidi ya wapinzani wake wa La Liga Athletic Bilbao wakati Sevilla mabingwa watetezi wa kombe hilo wataivaa Basel ambao uwanja wao wa St Jakob-Park ndipo itapigwa fainali ya michuano hiyo msimu huu.

Michezo hiyo itaanza kupigwa Alhamisi, 10 na 17 March mwaka huu.

Bingwa wa michuano hiyo atafuzu kucheza michuano ya Champions League msimu ujao.

Hii ndiyo ratiba kamili ya Europa League raundi ya 16 bora

Shakhtar Donetsk v Anderlecht

Basel v Sevilla

Villarreal v Bayer Leverkusen

Athletic Bilbao v Valencia

Liverpool v Manchester United

Sparta Prague v Lazio

Borussia Dortmund v Tottenham

Fenerbahce v Braga

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here