Home Dauda TV RONALDO AMETAJA JINA ANALOPENDA MABINTI WAMUITE (Video)

RONALDO AMETAJA JINA ANALOPENDA MABINTI WAMUITE (Video)

844
0
SHARE

Cris Ronaldo

Cristiano Ronaldo has featured in another new video from Unscriptd, in which the Real Madrid star has answered a series of questions on mainly non-footballing matters.

Nyota wa Ureno na klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ameonekana kwenye vieo moja akijibu mawali mengi aliyokuwa anaulizwa lakini mengi ya hayo yakiwa ni kuhusu maisha yake binafsi nje ya soka.

Swali la ufunguzi lililoulizwa kwa star huyo lilikuwa linahusiana na soka ambalo liliuliza: ipi ligi bora kati ya La Liga na Premier League (EPL)?

Badae mada ikahamia kwenye music , ambapo Cristiano alisema “it’s all about the moment baby!” Akataja pia ni muziki wa aina gani anapenda kusikiliza akiwa na watoto wa kike.

Akiwa bado anawazungumzia wanawake, Cristiano Ronaldo akasema pia jina ambalo anapenda wanawake wamuite.

Cheki video hapa chini umuone Ronaldo anavyofunguka kuhusu jina gani anapenda kuitwa na mabinti.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here