Home Kimataifa MCHEZAJI AMPIGA REFEREE KADI NYEKUNDU NA KUMTAKA ATOKE NJE YA UWANJA (Video)

MCHEZAJI AMPIGA REFEREE KADI NYEKUNDU NA KUMTAKA ATOKE NJE YA UWANJA (Video)

598
0
SHARE

Galatasaray

Kuna tukio la kushangaza limetokea kwenye soka la Uturuki wakati Galatasaray ikiibuka na ushindi dhidi ya Trabzonspor ambalo lilishuhudia wachezaji saba wakimaliza game hiyo.

.Mambo yalibalika dakika za mwisho za mchezo huo, wachezaji wa Trabzonspor walikuwa hawakubaliani na maamuzi ya referee wa mchezo huo kumtoa nje kwa kadi nyekundu mchezaji mwenzao Luis Pedro Cavanda kuonesha kwamba walikuwa hawakubaliani na tukio hilo, Salih Dursun aliichukua kadi nyekundu ambayo iliangushwa chini na mwamuzi na kumwonesha mwamuzi huyo akiashiria kumtoa nje ya uwanja.

Mambo yakambadilikia baada ya mwamuzi kuchukua kadi hiyo na kumwonesha Dursun kadi nyekundu na kumtaka atoke nje ya uwanja.

Shuhudia video mchezaji akimtandika mwamuzi kadi nyekundu na kumtaka atoke nje ya uwanja.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here