Home Kitaifa KUELEKEA YANGA VS SIMBA, ANGALIA PICHA ZA MUONEKANO WA JIJI LA DAR

KUELEKEA YANGA VS SIMBA, ANGALIA PICHA ZA MUONEKANO WA JIJI LA DAR

1023
0
SHARE
Hapa jezi pale tiketi, unatoka kununua tiketi unanuna jezi kesho unaingia kwenye game umependeza

Jumamosi ya February 22 2016 utapigwa mchezo wa Dar es Salaam Derby (Yanga vs Simba) kwenye uwanja wa taifa, mchezo huo ni wa marudiano wa ligi ya Vodacom Tanzania bara.

Mchezo wa raundi ya kwanza Yanga ilishinda kwa bao 2-0 dhidi ya Simba lakini kesho nini kitatokea? Simba italipa kisasi au Yanga itaendeleza ubabe? au timu hizo zitatoshana nguvu? Majibu ya maswali yote yatajulika baada ya dakika 90 za mchezo huo.

Kuelekea mchezo huo, leo nimepita katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam na kushuhudia kukiwa na pilika nyingi za maandalizi kuelekea mchezo huo. Jezi zinauzwa na kununuliwa na mashabiki lakini pia wapenzi wa timu hizo wameonekana wakiwa kwenye mistari mirefu wakiwa wananunua tiketi kwa ajili ya kushuhudia pambano hilo.

Cheki mwenyewe picha hizo

Simba vs Yanga 7

Hapa jezi pale tiketi, unatoka kununua tiketi unanuna jezi kesho unaingia kwenye game umependeza
Hapa jezi pale tiketi, unatoka kununua tiketi unanuna jezi kesho unaingia kwenye game umependeza

Simba vs Yanga 5

Moses Ambrosi wa Murahati zote-Shabiki wa Simba SC

Simba vs Yanga 4

Mashabiki wakiwa kwenye foleni wakisubiri kununua tiketi zao kwa ajili ya pambano la kesho

Jamaa ameshapanga mzigo wake tayari kwa kazi

Meshack Edward-Shabiki wa Yanga
Meshack Edward-Shabiki wa Yanga
Kama kawa vijana wamechangamkia fursa ya game ya Simba na Yanga

Wachuuzi wa jezi za Simba na Yanga wakipanga jezi za timu hizo kwa ajili ya kufanya biashara

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here