Home Dauda TV DaudaTV: Uchambuzi wa mechi ya Simba Vs Yanga by Edgar Kibwana (Part...

DaudaTV: Uchambuzi wa mechi ya Simba Vs Yanga by Edgar Kibwana (Part 1)

1178
0
SHARE

kibana

Jumamosi hii tutashuhudia mechi kubwa kwenye ligi kuu ya Vodacom ambapo Simba watacheza dhidi ya Yanga. Hii Hapa ni video kutoka Dauda TV ambapo mchambuzi Edgar Kibwana anachambua mechi hii.

Video hii inazungumzia uchezaji wa timu zote mbili kwa ujumla. Uchambuzi utaendelea kuhusu vitu mbali mbali kuhusu mechi hii

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here