Home Dauda TV VIDEO: SAMATTA ANAVYOISHI MAISHA MAPYA UBELGIJI

VIDEO: SAMATTA ANAVYOISHI MAISHA MAPYA UBELGIJI

756
0
SHARE

Samatta Genk

Mbwana Samatta kwa sasa maisha yake ya soka yamebadilika kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na alivyokuwa TP Mazembe pale nchini Congo DR. Kwa sasa ameanza maisha mapya nchini Ubeliji tangu aliposajiliwa na klabu ya Genk.

Samatta ameeleza changamoto ambazo amekuwa akikabiliana nazo tangu atue Genk, Jumatatu February 8 alifanya mahojiano ya moja kwa moja na Sports Bar ya Clouds TV kupitia Skype na kufunguka mambo kibao ambayo kama mdau wa michezo ni vyema ukapata kujua.

Samatta amefunguka mambo kiba, kupata story zaidi ingia kwenye video hapa chini umshuhudie Samatta ‘Popa’ akielezea maisha yake mapya barani Ulaya.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here