Home Entertainment Picha 7 za Himid Mao akiwa na mke wake kwenye mtoko

Picha 7 za Himid Mao akiwa na mke wake kwenye mtoko

1248
0
SHARE

cover

Kama ulikua hujui ni kwamba mchezaji Himid Mao ana mke wa ndoa kabisa anaitwa Hanna Hafid. Himid Mao amenipa story exclusive kwamba amefunga ndoa kimya na wanakaribia kufikisha mwaka mmoja sasa hivi.

“Tulifunga ndoa kimya bila kutangaza kwa watu lakini tukifikisha 1 year anniversary ndio tutatangaza party ya family and friends.”

Himid aliongeza kwamba hadi sasa hivi bado hawajapata mtoto lakini maisha yao yanaenda vizuri kama familia.

1 2 3 4 5 6

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here