Home Ligi EPL DILI LA MKATABA WA DE GEA NA MADRID LAVUJA

DILI LA MKATABA WA DE GEA NA MADRID LAVUJA

593
0
SHARE

De Gea David

David De Gea angekuwa akilipwa yuro milioni 11.8 kwa mwaka (paundi milioni 9.1) kwa mwaka endapo angehamia klabu ya Real Madrid, hii ni kutokana na vielelezo vilivyopostiwa mtandaoni ambavyo inasemekana vimevuja.

Uhamisho wa mlinda mlango huyo namba moja wa Uhispania na Manchester United ulikuwa ni kama umekamilika lakini kasoro ndogondogo zilizuia zoezi hilo kukamilika kwa wakati kabla ya dirisha la usajili majira ya joto kufungwa.

Baada ya zoezi hilo kushindwa kukamilika, pande zote ziliishia kulaumiana huku kila upande ukimnyooshea kidole mwenziye kwamba ndiyo sababu ya kufeli kwa uhamisho huo.

Taarifa zote juu ya uhamisho huo sasa zimevuja mitandaoni na kila kitu kipo wazi.

De Gea angekuwa anapokea paundi mil11kwa msimu, jumlisha na marupurupu mengine, mkataba ambao ungeisha mwezi Juni 30 2021.

De Gea pia angepata kiasi cha yuro mil10.9m (pauni ml 8.4), kama ada ya usajili ambayo angepewa mwezi Januari mwaka huu.

Kwa ujumla, mpaka mkataba wake kumalizika, De Gea angejizolea zaidi ya kiasi cha paundi milioni 66m.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here