Home Dauda TV ANGALIA PENATI ILIVYOIOKOA YANGA KUCHEZEA KICHAPO MBEYA

ANGALIA PENATI ILIVYOIOKOA YANGA KUCHEZEA KICHAPO MBEYA

635
0
SHARE

Msuva-penati

Asikwambie mtu Yanga ilikaliwa kooni kwenye mchezo wake wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons na kupata ahueni dakika za lalasalama kwa mkwaju wa penati na mchezo huo kumalizika kwa sare ya bao 2-2.

Yanga ilishakwama Mbele ya TZ Prisons ikiwa nyuma kwa goli 2-1 kwa muda mrefu ikasubiri hadi beki wa Prisons alipounawa mpira kwenye eneo la penati box kisha Msuva kuisawazishia Yanga kwa penati.

Pata fursa ya kutazama mambo yalivyokuwa kwenye game hiyo ambayo ilikuwa ya upinzani mkubwa kuliko watu walivyotarajia mwanzoni.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here